News and Resources Change View → Listing

ZIARA YA UBALOZI KATIKA KIWANDA CHA CIPLO NCHINI UGANDA

Mhe. Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda alifanya Ziara ya kutembelea Kiwanda cha CIPLO kilichopo Kampala iliyofanyika tarehe 3 Mei 2024.…

Read More

ZIARA KATIKA KIWANDA CHA KIIRA MOTORS CORPORATION JINJA, UGANDA

Mhe. Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda alifanya Ziara ya kutembelea Kiwanda cha Kiira Motors Corporation kilichopo Jinja tarehe 2 Mei…

Read More

MKUTANO WA UBALOZI NA DIASPORA

Tarehe 23 Machi, 2024, Ubalozi uliandaa mkutano na diaspora wa Tanzania wanaoishi Uganda. Mkutano huo ulifanyika katika viwanja vya Ubalozi vilivyopo jijini Kampala. Lengo la mkutano huo lilikuwa ni…

Read More

ZIARA YA UBALOZI KATIKA OFISI YA KAMPUNI YA BAKHRESA UGANDA LTD TAREHE 26 FEBRURI 2024

Tarehe 26 Februari 2024, Mhe. Maj. Gen. Paul Kisesa, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda alifanya Ziara ya kutembelea Kiwanda cha Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited (BGM…

Read More

KIKAO CHA UBALOZI NA VIONGOZI WA VILABU VYA KISWAHILI KATIKA VYUO VIKUU VYA UGANDA

Tarehe 1 Desemba 2023, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda ulifanya mkutano na baadhi ya viongozi wa vilabu vya Kiswahili katika vyuo vikuu nchini Uganda. Lengo la mkutano huo lilikuwa ni…

Read More

INAUGURATION OF A TANZANIAN CARGO SHIP “MV UMOJA, KAZI IENDELEE”

The newly rehabilitated MV Umoja, Kazi Iendelee, a cargo vessel plying the Mwanza – Portbell – Jinja route was launched 17th November, 2023 after undergoing major rehabilitation at a cost of 8,422,840…

Read More

MASHINDANO YA KOMBE LA CECAFA KWA VIJANA WA UMRI WA MIAKA 15

Serikali ya Jamhuri ya Uganda kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) iliandaa mashindano ya Kombe la CECAFA kwa Vijana wenye umri wa miaka 15 kuanzia tarehe 4 hadi 16…

Read More