Bi. Naiz Edriss Mavura, afisa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Uganda ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uganda (Diaspora) akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda, kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere tarehe 20 Septemba, 2018 katika Ziwa Victoria mkoni Mwanza na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali.
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Uganda, Colette Marcellin akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kufuatia ajali ya kivuko cha MV. Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba, 2018 katika Ziwa Victoria mkoni Mwanza na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali.
Kaimu Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) nchini Uganda, Katoto Christian akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kufuatia ajali ya kivuko cha MV. Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba, 2018 katika Ziwa Victoria mkoni Mwanza na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali.
Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mh. Dkt. Aziz Ponary Mlima akisalimiana na Naibu Balozi wa Uturuki nchini Uganda, Dursun Erman Birdal alipofika Ubalozini kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezo ya ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere iliyosababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali tarehe 20 Septemba, 2018 katika Ziwa Victoria, Mwanza, Tanzania.
Balozi wa Cuba nchini Uganda, Mhe. Antonio Luis Pubillones Izaguirre akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere iliyosababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali.
Balozi wa Uholanzi nchini Uganda, Mhe. Henk Jan Bakker akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kufuatia ajali ya kivuko cha MV. Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba, 2018 katika Ziwa Victoria mkoni Mwanza na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali.
Bi. Naiz Mavura akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mh. Dkt. Aziz Ponary Mlima
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Uganda, Colette Marcellin akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda
Kaimu Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) nchini Uganda, Katoto Christian akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda
Kaimu Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) nchini Uganda, Katoto Christian akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mh. Dkt. Aziz Ponary Mlima
Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mh. Dkt. Aziz Ponary Mlima akisalimiana na Naibu Balozi wa Uturuki nchini Uganda, Dursun Erman Birdal alipofika Ubalozini kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezo
Balozi wa Cuba nchini Uganda, Mhe. Antonio Luis Pubillones Izaguirre akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda
Balozi wa Uholanzi nchini Uganda, Mhe. Henk Jan Bakker akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda. Pembeni ni Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mh. Dkt. Aziz Ponary Mlima
