Mheshimiwa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Jamhuri ya Uganda akiambatana na mkewe Mama Janet Museveni walifika katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya kusaini kitabu cha maombolezo, Rais Museveni alihutubia Taifa la Uganda mubashara kupitia kituo cha Shirika la Utangazaji la Uganda (UBC).

Makamu wa Rais wa Uganda Mheshimiwa Edward Kiwanuka Ssekandi akisaini kitabu cha maombolezo ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akisaini kitabu cha maombolezo ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda.

  • Mheshimiwa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Jamhuri ya Uganda akiambatana na mkewe Mama Janet Museveni walifika katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Makamu wa Rais wa Uganda Mheshimiwa Edward Kiwanuka Ssekandi akisaini kitabu cha maombolezo ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda.
  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akisaini kitabu cha maombolezo ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Ruhakana Rugunda akisaini kitabu cha maombolezo ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda.