Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz P. Mlima, akikagua gwaride la heshima katika viwanja vya Kololo, Kampala, Uganda kabla ya kukabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni tarehe 25 Septemba, 2018.