News and Events Change View → Listing

MKUTANO WA UBALOZI NA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KITANZANIA NCHINI UGANDA

Tarehe 20 Oktoba 2023, Ubalozi ulifanya mkutano na Viongozi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda (TSAU). Lengo la Mkutano huo lilikuwa ni kujadiliana changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo…

Read More

JKT QUEENS QUALIFY TO 2023 CAF WOMEN’S CHAMPIONS LEAGUE

JK Queens FC emerged winners of the CAF Women’s Champions League CECAFA Zonal Qualifiers 2023. The match was played at FUFA Technical Centre in Njeru, Uganda on 30th August 2023. The team defeated CBE…

Read More

WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 200 KUTOKA TANZANIA, WANUFAIKA NA FURSA ZA MASOKO NCHINI UGANDA.

Maonesho ya 22 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) maarufu kama “Juakali” yalifanyika katika viwanja vya Kololo kuanzia tarehe 8 hadi 18 Desemba, 2022. Maonesho hayo yaliyoongozwa na kauli mbiu “Nunua…

Read More

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UGANDA

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alifanya Ziara ya Kikazi nchini Uganda tarehe 17 na 18 Desemba 2022. Mhe. Waziri Mkuu alimwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan,…

Read More

MABALOZI WA TANZANIA WASHIRIKI ZOEZI LA KUPANDA MLIMA WA KILIMANJARO.

Baadhi ya mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali akiwemo Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda, wameshiriki zoezi la kupanda Mlima wa…

Read More

BENJAMIN WILLIAM MKAPA MEMORIAL LECTURE 2022; CAVENDISH UNIVERSITY UGANDA

On 30th November 2022, Cavendish University Uganda held an Inauguration of Benjamin Mkapa Memorial lecture, in honor of the late H.E. Benjamin William Mkapa, Former President of the United Republic…

Read More

Ufunguzi wa Klabu ya Kiswahili: Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU)

Tarehe 28 Ocktoba 2022, Kanali Hamza M. Burah, Mwambata Jeshi alimwakilisha Mheshimiwa Dkt. Aziz P. Mlima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Klabu ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha…

Read More