Siku ya Kiswahili Duniani nchini Uganda.
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda uliandaa sherehe za Siku ya Kiswahili duniani zilizofanyika tarehe 7 Julai, 2022 katika viwanja vya Ubalozi. Wadau mbalimbali wa Kiswahili nchini… Read More