Spika wa Bunge la Jamhuri ya Uganda Mhe.Rebecca Kadaga  akisaini kitabu cha maombolezo ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda.