News and Events Change View → Listing

COMMEMORATION OF 100 YEARS OF MWALIMU JULIUS NYERERE

The High Commission of the United Republic of Tanzania to the Republic of Uganda in collaboration with the Julius Nyerere Leadership Center in Makerere University held a two-day symposium on 13th and 14th…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU NCHINI UGANDA

Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo Jumapili, tarehe 9 Oktoba 2022, amemuwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Read More

UZINDUZI WA KLABU YA KISWAHILI KATIKA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBARARA.

Tarehe 23 Septemba 2022, Mheshimiwa Dkt. Aziz Ponary Mlima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda alizindua Klabu ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbarara…

Read More

ZIARA YA MAFUNZO YA UFUGAJI WA SAMAKI KWA KUTUMIA VIZIMBA KWA WAFUGAJI NA MAAFISA KUTOKA MKOA WA MWANZA.

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda kwa kushirikiana na Shirika la Uvuvi la Ziwa Viktoria la Jumuiya ya Afrika Mashariki (LVFO) liliopo Jinja, Uganda uliandaa ziara ya mafunzo…

Read More

Siku ya Kiswahili Duniani nchini Uganda.

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda uliandaa sherehe za Siku ya Kiswahili duniani zilizofanyika tarehe 7 Julai, 2022 katika viwanja vya Ubalozi.  Wadau mbalimbali wa…

Read More

Tour Operators and Travel Agents Meeting / Sheraton Kampala Hotel

The High Commission of the United Republic of Tanzania in Kampala hosted a Tour Operators and Travel Agents meeting in Uganda that was held on 30th June, 2022 at Sheraton Kampala Hotel. The meeting aimed to…

Read More

Ziara ya Mafunzo ya Ufugaji kwa Wafugaji kutoka Mkoa wa Kagera tarehe 23 - 25 Juni 2022

Ubalozi uliandaa ziara ya mafunzo ya ufugaji kwa wafugaji kutoka Mkoa wa Kagera yaliyofanyika kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 25 Juni 2022. Mafunzo hayo yalifanyika kwa njia ya nadharia na vitendo katika shamba…

Read More

Tanzania High Commission in Kampala commemorates the 58th Anniversary of the United Republic of Tanzania

On Tuesday 26th April 2022, the High Commission of the United Republic of Tanzania in Kampala, Uganda hosted a reception at Sheraton Kampala Hotel to celebrate the 58th Anniversary of the United Republic of…

Read More