News and Events Change View → Listing

WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 200 KUTOKA TANZANIA, WANUFAIKA NA FURSA ZA MASOKO NCHINI UGANDA.

Maonesho ya 22 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) maarufu kama “Juakali” yalifanyika katika viwanja vya Kololo kuanzia tarehe 8 hadi 18 Desemba, 2022. Maonesho hayo yaliyoongozwa na kauli mbiu “Nunua…

Read More

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UGANDA

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alifanya Ziara ya Kikazi nchini Uganda tarehe 17 na 18 Desemba 2022. Mhe. Waziri Mkuu alimwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan,…

Read More

MABALOZI WA TANZANIA WASHIRIKI ZOEZI LA KUPANDA MLIMA WA KILIMANJARO.

Baadhi ya mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali akiwemo Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda, wameshiriki zoezi la kupanda Mlima wa…

Read More

BENJAMIN WILLIAM MKAPA MEMORIAL LECTURE 2022; CAVENDISH UNIVERSITY UGANDA

On 30th November 2022, Cavendish University Uganda held an Inauguration of Benjamin Mkapa Memorial lecture, in honor of the late H.E. Benjamin William Mkapa, Former President of the United Republic…

Read More

Ufunguzi wa Klabu ya Kiswahili: Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU)

Tarehe 28 Ocktoba 2022, Kanali Hamza M. Burah, Mwambata Jeshi alimwakilisha Mheshimiwa Dkt. Aziz P. Mlima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Klabu ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha…

Read More