News and Resources Change View → Listing

Siku ya Kiswahili Duniani nchini Uganda.

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda uliandaa sherehe za Siku ya Kiswahili duniani zilizofanyika tarehe 7 Julai, 2022 katika viwanja vya Ubalozi.  Wadau mbalimbali wa…

Read More

Tour Operators and Travel Agents Meeting / Sheraton Kampala Hotel

The High Commission of the United Republic of Tanzania in Kampala hosted a Tour Operators and Travel Agents meeting in Uganda that was held on 30th June, 2022 at Sheraton Kampala Hotel. The meeting aimed to…

Read More

Ziara ya Mafunzo ya Ufugaji kwa Wafugaji kutoka Mkoa wa Kagera tarehe 23 - 25 Juni 2022

Ubalozi uliandaa ziara ya mafunzo ya ufugaji kwa wafugaji kutoka Mkoa wa Kagera yaliyofanyika kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 25 Juni 2022. Mafunzo hayo yalifanyika kwa njia ya nadharia na vitendo katika shamba…

Read More

Tanzania High Commission in Kampala commemorates the 58th Anniversary of the United Republic of Tanzania

On Tuesday 26th April 2022, the High Commission of the United Republic of Tanzania in Kampala, Uganda hosted a reception at Sheraton Kampala Hotel to celebrate the 58th Anniversary of the United Republic of…

Read More

Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda waadhimisha kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda umeadhimisha kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere. Maadhimisho hayo yalifanyika katika Kituo…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz P. Mlima azindua Klabu ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Bugema nchini Uganda

Tarehe 10 Aprili 2022, Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda alizindua Klabu ya Kiswahili katika chuo Kikuu cha Bugema. Sherehe za Uzinduzi wa Klabu…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima akutana na Diaspora wa Tanzania wanaoishi Uganda

Tarehe 2 Aprili 2022 katika viwanja vya Ubalozi, Mhe. Dkt. Aziz Ponary Mlima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Uganda alikutana na kufanya mazungumzo na diaspora watanzania wanaoishi…

Read More

H.E. Dr. Aziz Ponary Mlima, High Commissioner of Tanzania to Uganda visited various energy projects in Hoima, Buliisa and Kiriyadongo

From 24th to 26th March 2022, H.E. Dr. Aziz Ponary Mlima, High Commissioner of the United Republic of Tanzania to the Republic of Uganda paid an official visit to various energy projects which are implemented…

Read More